Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast cover art

Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Listen for free

View show details
Licha ya kutamba katika mashindano ya tenisi, Angela Okutoyi bado anapitia maisha magumu. Katika mahojiano na Mhariri wa Michezo, Ali Hassan Kauleni, mshindi huyo wa taji la Wimbledon anasimulia masaibu ambayo amepitia katika safari yake ya mchezo wa tenisi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka kumi na minane anasema bado analazimika kukula vibandani licha ya ahadi kutoka kwa maafisa wa serikali ya kumsaidia.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet