Elimu Podcast; Baraza la Kiswahili; Prof. Kandagor Mosol-CHAKITA cover art

Elimu Podcast; Baraza la Kiswahili; Prof. Kandagor Mosol-CHAKITA

Elimu Podcast; Baraza la Kiswahili; Prof. Kandagor Mosol-CHAKITA

Listen for free

View show details
Harakati za kuhakikisha kuwa Kenya inakuwa Baraza la Kiswahili zimeshika kasi. Wizara ya Michezo na Utamaduni imeandaa warsha (tarehe 11 na 12 Novemba, 2021) jijini Nairobi na kuwashirikisha waandishi, wahadhiri na wawakilishi wa vyama vya Kiswahili kikiwamo CHAKITA, ili kujadili suala hili. Sikiliza podcast hii ambapo Geoffrey Mung'ou anamhoji Profesa Kandagor Mosol, Mwenyekiti wa CHAKITA vilevile mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Moi.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet