Elimu Podcast: Mafadhaiko miongoni mwa vijana cover art

Elimu Podcast: Mafadhaiko miongoni mwa vijana

Elimu Podcast: Mafadhaiko miongoni mwa vijana

Listen for free

View show details
Mafadhaiko miongoni mwa vijana yameendelea kuwazonga na hata baadhi kukata tamaa maishani. Mwalimu Frank Otieno amezungumza kwa kina na washauri wa vijana: Evelyne Ogendo, Faith Mutendwa na Kelvin Ogada na kuangazia mbinu za kuwakwamua vijana kutokana na msongo wa mawazo nyumbani na hata shuleni.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet