Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli cover art

Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli

Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli

Listen for free

View show details
Kenya inapochangamkia Mtalaa wa Umilisi (CBC), mwanafunzi mwenye mahitaji spesheli anashughulikiwaje?Mwalimu Frank Otieno amezumgumza na Daktari Festo Ndonye, ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Moi, Idara ya Elimu Spesheli na Eva Nabutuni, mwandishi wa kitabu cha kufunza walimu na wazazi kuhusu elimu ya wenye mahitaji spesheli.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet