Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat cover art

Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat

Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat

Listen for free

View show details
Paul Kurgat aliwahi kuwa Balozi wa Kenya nchini Ukraine na pia alisomea Ulaya, hasa Urusi. Kwenye Elimu Podcast, Balozi Kurgat anazungumza na Faith Kutere kuhusu elimu nchini humo na kulinganisha na mfumo wa elimu nchini Kenya. Pia anaeleza jinsi ambavyo vita kati ya Ukraine na Urusi vitakavyowaathiri wanafunzi wanaosomea huko.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet