Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure cover art

Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

Listen for free

View show details
Afisa Mkuu Mtendaji wa Klabu ya Mathare United, Jakton Obure amesema watasalia kwenye ligi kuu ya FKF msimu ujao licha ya kushushwa daraja baada ya kukosa kushiriki mechi tatu mfululizo. Katika mahojiano na Ali Hassan Kauleni na Walter Kinjo, Obure anasema kwa mujibu wa sheria za FIFA ni kwamba kamati ya muda katika shirikisho la soka FKF haina uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu ligi kuu ya soka FKF.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet