Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi cover art

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi

Listen for free

View show details
Magari ya hybrid ambayo kwa mara ya kwanza yalitumika katika mashindano ya dunia ya uendeshaji magari hayauzwi ila yanatengezwa tu kwa ajili ya mashindano. Abdul Sidi ambaye alikuwa dereva vilevile msaidizi yaani navigator anasema magari ya hybrid yametengezwa na teknolojia ya juu zaidi na kwamba mtu wa kawaida haruhusiwi kuendesha. Sidi amezungumza na mwanahabari wetu, Walter Kinjo kuhusu teknolojia hii ya magari ya safari rally ya hybrid.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet