HOJA ZA WAHARIRI PODCAST; Siasa za miungano, kulumbana na kuhamia mirengo cover art

HOJA ZA WAHARIRI PODCAST; Siasa za miungano, kulumbana na kuhamia mirengo

HOJA ZA WAHARIRI PODCAST; Siasa za miungano, kulumbana na kuhamia mirengo

Listen for free

View show details
Je, muungano baina ya Jubilee na ODM utaafikia malengo ya kubuni serikali 2022? Aidha, kuhama au kuhamia mirengo ya kisiasa kumeshika kasi nchini bila kusahau joto la kisiasa Mlima Kenya; nani atanufaika au kupoteza kisiasa? Geoffrey Mung'ou, Odeo Sirari na Murimi Mwangi wanayazamia masuala haya.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet