Hali ya siasa Afrika Mashariki na mizozo ya DRC na Sudan: Kulikoni Podcast cover art

Hali ya siasa Afrika Mashariki na mizozo ya DRC na Sudan: Kulikoni Podcast

Hali ya siasa Afrika Mashariki na mizozo ya DRC na Sudan: Kulikoni Podcast

Listen for free

View show details
Katika msururu wa leo wa kipindi cha Kulikoni, Prof Monda anaongea na Bwana Goodluck Paul, mwandishi wa masuala ya diplomasia anayefanya na runinga ya Azam kutoka Taifa la Tanzania. Wanaangazia siasa za Afrika mashariki na mizozo ya DRC na Sudan. Karibu!
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet