Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia cover art

Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

Listen for free

View show details
Dunia inazidi kushangazwa na suala la mili zaidi ya 20 kupatikana ndani ya magunia katika Mto Yala. Mili hiyo ina alama na ishara za mateso. Je, waliouliwa ni akina nani na sababu za kuuliwa ni gani? Aidha, twajadili siasa za OKA vilevile usajili wa wapigakura wapya. Ali Manzu anawashirikisha wanahabari, Shisia Wasilwa na Kennedy Wandera katika kudadavua masuala haya.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet