Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast cover art

Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Listen for free

View show details
Aliyekuwa mchezaji wa timu ya kitaifa ya soka, Harambee Stars Silvanus Otema anasema alipitia wakati mgumu nchini Ethiopia baada ya kujiunga na klabu ya St. George. Otema anasema alitengwa na wachezaji wa klabu hiyo kutokana na uzuri wake. Pata uhondo kamili katika Podcast hii.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet