Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast cover art

Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast

Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast

Listen for free

View show details
Katika miaka ya hivi karibuni, jamii imekuwa ikiyafanya kipaumbele maslahi ya mtoto wa kike baada ya kukandamizwa kwa miaka mingi. Wengi sasa wamepata nafasi ya kusoma na hata kuajiriwa. Lakini kuna wanaoamini kwamba mwanamke anapopata kazi na kuwa na cheo katika jamii, mara nyingi hujawa kiburi. Suala hili tunaliangazia kwa kuhusisha kauli za wananchi vilevile kupata ushauri kuhusu masuala ya ndoa.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet