Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya cover art

Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya

Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya

Listen for free

View show details
Wakenya wanatoa maoni kuhusu ahadi za Raila Odinga na William Ruto. Baadhi wanasema ahadi zao ni ndoto tu huku wengine wakiwa na matumaini kwamba watatekeleza. Aidha, Wakenya wameshabikia kuharamishwa kwa mpango wa Huduma Namba. Je, rufaa ya serikali itafaulu? Wanahabari wetu wameshiriki gumzo na Wakenya kuhusu masuala haya.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet