Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa cover art

Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa

Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa

Listen for free

View show details
Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa anasema kuwa uhusiano mbaya kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake, William Ruto ni kutokana na siasa. Katika mahojiano na Faith Kutere, Barasa anasema hatua ya Rais kumwambia Naibu wake ajiuzulu haifai. Aidha, amepuuza uwezekano wa Ruto kuondolewa kupitia hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet