Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast cover art

Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Listen for free

View show details
Bingwa wa tenisi kwa wachezaji chipukizi chini ya miaka kumi na minane, Angela Okutoyi anasema hawaii kubadili uraia. Katika mazungumzo na Ali Hassan Kauleni, Okutoyi amesema wazi kwamba licha ya kupata nafasi ya kufanya hivyo ataendelea kuwakilisha Kenya katika mashindano ya tenesi.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet