Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana? cover art

Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?

Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?

Listen for free

View show details
Washauri wa masuala ya mapenzi watakweleza kwamba huwa ni kibarua kumtafuta mchumba na hasa mtu mtakayefaana maishani. Ili kumpata mpenzi ni lazima kwanza umtafute. Lakini je, ni mbinu zipi ambazo hutumiwa katika kutongoza? Msichana naye anaweza kufanya nini ili kumvutia mwanamume ambaye anampenda bila kutoa taswira kwamba ndiye anayemfukuzia mwanamume? Vijana na washauri wanatoa kauli zao kuihusu mada hii.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet