Wanawake walemavu siasani; Rose Museo | Kisa Changu Podcast Sehemu ya 1 cover art

Wanawake walemavu siasani; Rose Museo | Kisa Changu Podcast Sehemu ya 1

Wanawake walemavu siasani; Rose Museo | Kisa Changu Podcast Sehemu ya 1

Listen for free

View show details
Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Machakos, Rose Museo ni mwenye ulemavu. Museo aliyepata ulamavu huo ulemavu kufuatia ajali mwaka 2007 anasema changamoto hiyo haikumzuia kufanikisha ndoto yake ya kuwa kiongozi. Katika mazungumzo na mwanahabari wetu, Rose Mukonyo anawashauri wanawake wengine wenye ulemavu kwamba wanaweza kuafikia malengo maishani.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet