SBS Swahili - SBS Swahili cover art

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

By: SBS
Listen for free

Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza KiswahiliCopyright 2023, Special Broadcasting Services Hourly Politics & Government Social Sciences
Episodes
  • Taarifa ya Habari:Wanaume wawili wafunguliwa mashtaka baada ya Polisi kunasa tani 2.7 za kokeni nchini Australia
    Jun 22 2026
    Polisi wamekamata tani 2.7 za kokeni katika kile kinachoelezwa kuwa unyakuaji mkubwa zaidi wa kokeni kuwahi kutokea nchini Australia.
    Show More Show Less
    5 mins
  • Sasisho la Kombe la Dunia siku ya 8:Mexico yatinga hatua ya mchujo na Canada ya andika historia
    Jun 19 2026
    Mexico ime ingia katika hatua ya mchujo, baada ya kuishinda Jamhuri ya Korea katika siku ambayo iliadhimishwa na jeraha kubwa nchini Canada.
    Show More Show Less
    5 mins
  • Mafanikio ya Socceroos ya akisi Australia ya kisasa
    Jun 19 2026
    Mafanikio ya awali ya Socceroos katika Kombe la Dunia, yameangazia tena hadithi za mafanikio za Australia yenye tamaduni nyingi.
    Show More Show Less
    8 mins
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet