• Taarifa ya Habari:Wanaume wawili wafunguliwa mashtaka baada ya Polisi kunasa tani 2.7 za kokeni nchini Australia
    Jun 22 2026
    Polisi wamekamata tani 2.7 za kokeni katika kile kinachoelezwa kuwa unyakuaji mkubwa zaidi wa kokeni kuwahi kutokea nchini Australia.
    Show More Show Less
    5 mins
  • Sasisho la Kombe la Dunia siku ya 8:Mexico yatinga hatua ya mchujo na Canada ya andika historia
    Jun 19 2026
    Mexico ime ingia katika hatua ya mchujo, baada ya kuishinda Jamhuri ya Korea katika siku ambayo iliadhimishwa na jeraha kubwa nchini Canada.
    Show More Show Less
    5 mins
  • Mafanikio ya Socceroos ya akisi Australia ya kisasa
    Jun 19 2026
    Mafanikio ya awali ya Socceroos katika Kombe la Dunia, yameangazia tena hadithi za mafanikio za Australia yenye tamaduni nyingi.
    Show More Show Less
    8 mins
  • Taarifa ya Habari: Marekani na Iran zasaini mkataba wa kumaliza vita
    Jun 19 2026
    Rais wa Marekani Donald Trump alisaini makubaliano na Iran jana Jumatano ambayo yanaitaka Jamhuri hiyo ya Kiislamu kupunguza kiwango cha akiba yake ya madini ya urani iliyorutubishwa.
    Show More Show Less
    15 mins
  • Frank "Kombe hili halitabiriki lakini tuna matumaini makubwa kwa timu za Afrika"
    Jun 18 2026
    Mashabiki wa soka wana endelea kupata burudani kupitia Kombe la Dunia la FIFA 2026 linalo andaliwa nchini, Canada, Marekani na Mexico.
    Show More Show Less
    11 mins
  • Yaliyojiri Afrika: Raia wakigeni waondolewa Afrika Kusini
    Jun 18 2026
    Afrika Kusini imewarejesha makwao raia wa kigeni 2,745, ndani ya wiki moja baada ya rais wa taifa hilo ku ahidi kuchukua hatua kali dhidi ya wahamiaji haramu.
    Show More Show Less
    7 mins
  • Taarifa ya Habari: Seneti ya DRC yafungua njia ya muhula wa tatu kwa Rais Tshisekedi
    Jun 18 2026
    Polisi wanachunguza ajali iliyotokea kusini-magharibi mwa Sydney usiku wakuamkia, ambayo imesababisha vifo vya watoto wawili wenye umri wa mwaka moja na miaka mitano.
    Show More Show Less
    6 mins
  • How should we talk to children about antisemitism? - SBS Examines:Tunastahili zungumzaje na watoto kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi?
    Jun 17 2026
    Hearings for the Royal Commission on Antisemitism and Social Cohesion have revealed many victims and perpetrators of antisemitism in Australia are children. How do we discuss the issue in an age-appropriate way? - Vikao vya Tume ya Kifalme kwa Unyanyasaji wa Wayahudi na Uwiano wa Kijamii vimefichua kwamba waathiriwa na wahusika wengi wa chuki dhidi ya Wayahudi nchini Australia ni watoto. Tunawezaje kujadili suala hilo kwa njia inayofaa umri wa watu?
    Show More Show Less
    14 mins